Peter Mwakabwale kutoka Heifer International iliyo Tanzania juzi alishiriki kwenye mkutano iliyohusiana na ufugaji wa mifugo wa ng’ombe pamoja na wanyama wadogo wadogo na samaki. Mkutano huu ulishirikisha watu wengi wa nyanja na fildi mbalimbali kutoka nchi nyingi. Mjadala na mawazo yote yalikuwa kutoka kila kundi bila ubaguzi.
Welcome to the ILRI short video publishing site. We use this to publish 'blips' - short video interviews of people associated with our work. Our professional films are at: http://ilri.blip.tv